
draywadray ministry ⛪🎇⛪
Tanzania Swahili
Ni maalum kwa waliookoka,
Wenye nia ya kujifunza na kuwafundisha na kuwahubiria wengine habari njema za YESU KRISTO,
maadili yanalindwa,lugha chafu zenye kuudhi na kukera, picha na video chafu zaweza kuwa sababu za kukuondoa kwenye group.
Tags: Pata neno la mungu litakalokusaidia kukua kiroho na kimwili katika utukufu wa MUNGU uliotukuka.