
TIBA ASILIA na AFYA BORA
Tanzania Swahili
Tunafundishana kuhusiana na Afya zetu pia Tunafanya utatuzi wa changamoto mbali mbali za kiafya ikiwemo magonjwa MAKUBWA MAKUBWA yote
Sheria
Haturusiwi kutokana Wala kutoa Lugha chafu ndani ya group
Haturusiwi kutuma video chafu
Utani kidogo ruksa (kucheka pia ni Afya)
Link na Matangazo yoyote sio sawa
Tags: Afyabora, Kinga ni bora kuliko TIBA, Jukumu letu kulinda afya zetu